Yanga imecheza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki dhidi ya timu ya Tanzanite Sport Academy na kuibuka na ushindi mkubwa wa mabao 5-1 lakini kocha wake Mwinyi Zahera akasema anataka mechi ngumu zaidi. Katika mchezo huo ambao Zahera alichezesha vikosi viwili vilivyogawana dakika 45 Yanga ilionekana kuwa imara katika dakika 45 za kwanza. Ikicheza soka la kasi Yanga ilimaliza dakika 45 za kwanza kwa kuongoza kwa mabao 4-1 mabayo yakifungwa na washambuliaji Heritier Makambo,Mrisho Ngassa na viungo Deus Kaseke,Emmaneul Martin na Pius Buswita. Kocha Mwinyi Zahera aliwaanzisha kipa Benno Kakolanya akilindwa na mabeki Juma Abdul, Mwinyi Haji, Andrew Vincent 'Dante', Abdallah Shaibu 'Ninja. Katika kiungo kikosi hicho kilichtengeneza sehemu kubwa ya ushindi huo kilikua na nyota Feisal Salum,Buswita,Raphael Daud,Ngassa,Kaseke huku mshambuiaji akiwa Makambo. Mpaka mapumziko Yanga ilimaliza ikiongoza kwa mabao 4-1 yaliyofungwa na Ngassa,Buswita,Kaseke na Makambo huku lile la Tanzanite likifungwa na Omari Jaribu. Kipindi cha pili Zahera alibadili kikosi kizima ambacho nacho licha ya kupoteza nafasi nyingi kiliambulia kutengeneza bao moja pekee likifungwa na Martin aliyetengenezewa nafasi nzuri na kiungo Edward Maka. Kikosi hicho kilikuwa na nyota Klause Kindoki,Juma Mahadh,Gadiel Michael,Pato Ngonyani,viungo wakiwa Thabani Kamusoko,Jafary Mohamed aliyetolewa na kungia Maka,Said Juma,Yusuf Mhilu aleyetolewa na kuingia Martin wakati washambuliaji wakiwa Amissi Tambwe na Matheo Antony. Akizungumzia mechi hiyo Zahera alisema amefankiwa kupata kipimo kizuri kwa wachezaji wake lakini bado ameomba kutafutiwa mechi ngumu zaidi kuweza kupima uboa wa wachezaji wake. Zahera alisema endapo atapata mechi mbili na vikosi vigumu ataweza kujua ubora wa timu yake kabla ya kukutana na USM Alger ya Algeria. "Hii ni mechi ya kwanza lakini sitaki kuzingatia chochote katika kilichotokea leo (jana) bado nahitaji mechi ngumu kama mbili kabla ya kukutana na USM Alger. "Nataka kujua ubora zaidi kwa kuwa tumemaliza sehemu kubwa ya maandalizi lakini sasa nataka kuangalia kipi kimeingia kiufundi ili tujue turekebishe wapi."
Jumatano, 8 Agosti 2018
YANGA yaibuka na ushindi wa bao tano kwa moja 5-1
Smartdesmart
Jumatano, Agosti 08, 2018
0
Yanga imecheza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki dhidi ya timu ya Tanzanite Sport Academy na kuibuka na ushindi mkubwa wa mabao 5-1 lakini kocha wake Mwinyi Zahera akasema anataka mechi ngumu zaidi. Katika mchezo huo ambao Zahera alichezesha vikosi viwili vilivyogawana dakika 45 Yanga ilionekana kuwa imara katika dakika 45 za kwanza. Ikicheza soka la kasi Yanga ilimaliza dakika 45 za kwanza kwa kuongoza kwa mabao 4-1 mabayo yakifungwa na washambuliaji Heritier Makambo,Mrisho Ngassa na viungo Deus Kaseke,Emmaneul Martin na Pius Buswita. Kocha Mwinyi Zahera aliwaanzisha kipa Benno Kakolanya akilindwa na mabeki Juma Abdul, Mwinyi Haji, Andrew Vincent 'Dante', Abdallah Shaibu 'Ninja. Katika kiungo kikosi hicho kilichtengeneza sehemu kubwa ya ushindi huo kilikua na nyota Feisal Salum,Buswita,Raphael Daud,Ngassa,Kaseke huku mshambuiaji akiwa Makambo. Mpaka mapumziko Yanga ilimaliza ikiongoza kwa mabao 4-1 yaliyofungwa na Ngassa,Buswita,Kaseke na Makambo huku lile la Tanzanite likifungwa na Omari Jaribu. Kipindi cha pili Zahera alibadili kikosi kizima ambacho nacho licha ya kupoteza nafasi nyingi kiliambulia kutengeneza bao moja pekee likifungwa na Martin aliyetengenezewa nafasi nzuri na kiungo Edward Maka. Kikosi hicho kilikuwa na nyota Klause Kindoki,Juma Mahadh,Gadiel Michael,Pato Ngonyani,viungo wakiwa Thabani Kamusoko,Jafary Mohamed aliyetolewa na kungia Maka,Said Juma,Yusuf Mhilu aleyetolewa na kuingia Martin wakati washambuliaji wakiwa Amissi Tambwe na Matheo Antony. Akizungumzia mechi hiyo Zahera alisema amefankiwa kupata kipimo kizuri kwa wachezaji wake lakini bado ameomba kutafutiwa mechi ngumu zaidi kuweza kupima uboa wa wachezaji wake. Zahera alisema endapo atapata mechi mbili na vikosi vigumu ataweza kujua ubora wa timu yake kabla ya kukutana na USM Alger ya Algeria. "Hii ni mechi ya kwanza lakini sitaki kuzingatia chochote katika kilichotokea leo (jana) bado nahitaji mechi ngumu kama mbili kabla ya kukutana na USM Alger. "Nataka kujua ubora zaidi kwa kuwa tumemaliza sehemu kubwa ya maandalizi lakini sasa nataka kuangalia kipi kimeingia kiufundi ili tujue turekebishe wapi."
Alhamisi, 7 Juni 2018
ALIKIBA ATANGAZA KIKOSI CHAKE RASMI LEO
Smartdesmart
Alhamisi, Juni 07, 2018
0
Mwanamuziki, Alikiba ametangaza kikosi chake kitakachocheza mchezo wa hisani utakaochezwa Jumamosi kati na marafiki zake na marafiki wa Mbwana Samatta. Kiba alisisitiza kuwa wameamua kuungana vijana kwa pamoja kwa ajili ya kufanya kitu kwenye sekta ya elimu. “Kutokana na kutambua umuhimu wa elimu nchini ndio maama tumejitolea kuwa mabalozi ambao tutahamasisha kuchangia vifaa vya kujifunzia na kufundishia na uimarishaji wa miundombinu,” alisema Alikiba. Nyota wa kikosi cha marafiki wa Kiba ni Shaaban Kado, Aishi Manula, Gadiel Michael, Said Ndemla, Adam Salamba, Paul Nonga, Abdul Kiba, Himid Mao, Erasto Nyoni, Agrey Morris, Ibrahim Ajib. Wengine ni Haruna Niyonzima, Abdi Kassim, Emmanuel Okwi, Abdi Banda, Saimon Msuva, Shaban Kisiga, Uhuru Seleman na Ramadhani Chombo. Nyota wa timu Samatta ni Juma Kaseja, Kabaly Faraji, Shomari Kapombe, Mohammedi Zimbwe, Kelvin Yondani, Nadir Haroub, Athumani Chuji, Haruna Shamte, Mohammed Samatta. Wengine ni Tresor Mputu, Thomas Ulimwengu, Farid Mussa, Haruna Moshi ‘Boban’, Amri Kiemba, Athuman Machupa, Henry Joseph, Rashid Gumbo, Mrisho Ngassa na Sultan Kaskas. Viingilio kwenye mchezo huo utakaochezwa uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam Sh2000 kwa mzunguko huku jukwaa maalum ‘VIP’ ikiwa ni buku tatu Sh3000.
MASHABIKI WA SIMBA WAKISUBIRI KWA HAMU TUZO ZA MO DEWJ
Smartdesmart
Alhamisi, Juni 07, 2018
0
Mashabiki na wanachama wa Simba wameonyesha muitikio mkubwa katika kutafuta washindi wa tuzo maalum zilizoanzishwa na Mwekezaji na Mwanachama wa klabu hiyo Mohammed Dewji zijulikanazo kama 'MO Simba Awards 2018'
Mwenyekiti wa kamati ya kusimamia tuzo hizo, Mulamu Nghambi alisema upigaji kura limepokelewa kwa muitikio chanya na mashabiki na wanachama wao kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.
Nghambi alisema hakuna kigezo maalum kilichowekwa katika kuteua washindi mbalimbali wa tuzo hizo na badala yake mashabiki na wanachama wanapiga kwa utashi wao.
Nghambi alisema Dewji ameamua kuanzisha tuzo hilo kwa lengo la kutambua mchango wa watu mbalimbali waliochangia mafanikio ya klabu hiyo.
Jumamosi, 26 Mei 2018
kumbe real madrid hawana mabavu kwa liverpool
Smartdesmart
Jumamosi, Mei 26, 2018
0
Kiev, Ukraine. Saa 3:45 usiku wa leo Jumamosi, macho na masikio yataelekezwa katika dimba la NSC Olimpiyskiy au maarufu kama Olympic Stadium, lenye uwezo wa kuingiza watazamaji wapatao 70,000, ingawa Uefa wanasema, watazamaji 63,000 tu ndio watakaoruhusiwa kuingia uwanjani. Unaambiwa dunia itasimama kwa takribani dakika 90, pale Jiji la Kiev, litakaposhuhudia rekodi mpya na historia ikiandikwa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Naam! Mabingwa watetezi, Real Madrid watakuwa na kibarua cha kutetea ubingwa wao dhidi ya Liverpool. Los Blancos, wataweza kuwazuia watoto wa Malkia? Hilo jibu hata mimi sina ila rekodi mbona iko wazi mwanangu? Huna habari? Acha nikodokeze kidogo. Fainali ya leo, itakuwa ni mechi ya sita inayokutanisha miamba hii miwili katika historia ya michuano hii. Unajua ilikuaje? Tulia nikupe data mwanawani. Katika mara zote sita walipokutana Real Madrid, walipigika kinoma unaambiwa. Katika mechi sita, Liverpool imeibuka kidedea mara tatu. Madrid wao wameshinda mara mbili tu. Yaani waswahili wanakuambia, Los Blancos walichezea 3-2. Mbona tunabishana sasa, lakini? Najua huamini. Ili nikuoneshe kuwa Mwanaspoti huwa hatuzungumzi bila data, hizi hapa ni mechi tano za awali. Kombe la Uropa (European Cup Final)- Liverpool 1-0 Real Madrid. Mechi hii ilipigwa Mei 27, 1981. Ikiwa ni fainali yao ya tatu katika kipindi cha miaka mitatu, baada ya kushinda fainali za 1977 na 78, Liverpool walikuwa na ndoto kubwa ya kufuata nyayo za Nottingham Forest huku wakiwa na kiu ya kuipa ujiko England kwa kuwa taifa la kwanza kutwaa taji hilo mara tano mfululizo. Vijana wa Malkia, wakaliamsha dude balaa unaambiwa, ambapo katika dakika ya 82, Alan Kennedy aliuzamisha wavuni, Real Madrid wakatulia tuli. Ushindi huo ukamuingiza Bob Paisley, kwenye vitabu vya kumbukumbu kwa kuweka rekodi ya kuwa Kocha wa kwanza kubeba taji hilo mara tatu mtawalia. Kumbuka wakati huu, kombe hili lilikuwa bado linajulikina kama Kombe la Ulaya (European Cup). Maana kuna wanangu fulani wa mabanda umiza walishaanza kuvimba kwa jazba! Ligi ya mabingwa Ulaya, hatua ya 16 bora- Real Madrid 0-1 Liverpool (Februari 25, 2009) Kama kuna usiku ambao Mhispania Rafael Benitez, atazidi kuukumbuka katika maisha yake, basi ni ule usiku alipowavuruga Real Madrid pale Santiago Bernabeu. Licha ya kumkosa Nahodha wake Steven Gerrard, Liverpool waliupiga mwingi asikwambie mtu na kuhakikisha Los Blancos wanaloa 1-0 nyumbani. Usiku ule, Muizraeli mwenye roho ngumu Yossi Benayoun alitakata balaa. Mwanaume yule, katili yule, aliuzamisha bila hofu. Akiunganisha krosi ya Fabio Aurelio, katika dakika za lala salama, Benayoun alihakikisha Bernabeu inatulia na kuimba jina lake yeye. Ligi ya mabingwa, hatua ya 16 bora- Liverpool 4-0 Real Madrid (March 10, 2009) Kama uliamini shughuli aliyokabidhiwa Benitez na vijana wake, ya kuwaangamiza Real Madrid iliishia pale Bernabeu, basi inawezekana kabisa ulilogwa wewe. Moto uliowashwa kule Anfield hadi shetani aliogopa. Dunia ilisimama! Watoto wa Malkia walitinga hatua ya Robo fainali kwa staili ya aina yake. 'Captain Fantastic' Steven Gerrard, alihakikisha anawabeba wanae mgongoni. Alitupia mara mbili wavuni, huku Fernando Torres na Andrea Dossena wakitupia mengine mawili. Los Blancos wakala mvua 4-0! Ligi ya mabingwa, hatua ya makundi- Liverpool 0-3 Real Madrid (Oktoba 22, 2014). Nani anakubali kuonea kizembe? Real Madrid walisema basi inatosha. Miaka mitano baada ya mechi tatu za uonevu, Los Blancos, walisafiri hadi Anfield, kukutana na wababe wao hao, katika mechi ya hatua ya makundi. Liverpool walikuwa ndio kwanza wamerudi baada ya kukaa nje ya michuano hii kwa zaidi ya miaka minne. Hadi kipindi cha kwanza kinamalizika, tayari Liverpool walishapigwa 'tatu mzuka'. Wafungaji wakiwa ni Cristiano Ronaldo na Karim Benzema aliyetupia wavuni mara mbili. Ligi ya mabingwa, hatua ya makundi- Real Madrid 1-0 Liverpool (Novemba 4, 2014).Baada ya kula 3-0 nyumbani, Brendan Rogers alisafiri na kikosi chake hadi Santiago Bernabeu, huku akiamua
qchila. aghairi kuacha mziki,apata mdhamini
Smartdesmart
Jumamosi, Mei 26, 2018
0
Mwanamuziki aliyewahi kutamba na nyimbo za Uhali Gani, Si Ulinikataa, Nikilala Naota na nyingine nyingi, Q Chillah ameghairi kuachana na muziki kama alivyotangaza awali baada ya kupata mfadhili aliyetangaza kuwa atamsaidia kumrudisha kwenye chati. Chillah amesema alikusudia kuachana na muziki kwa sababu alipotezewa na wadau wa muziki akidai kuwa wapo wengine walikosea, lakini walirudishwa katika mstari akimtolea mfano Saida Karoli na Ruby ambao sasa wanafanya vizuri. Akizungumzia sababu ya kusikitisha uamuzi huo mzito anasema: “Niliona nakuwa mtumwa wa makosa yangu nikaona bora niutue mzigo huu, nikiwatazama watoto wangu nilijiona na madeni, sipo kwenye dunia ambayo wenzangu wapo.” Hata hivyo uamuzi huo ulifikia tamati baada ya kuaminishwa kuwa tasnia bado inamhitaji, hivyo alibadili uamuzi wake. “Tangu nimetangaza kuacha muziki, nimeona mapenzi ya Watanzania, nimeona mahaba yao, mpaka nimejiuliza tatizo sio ‘support’ yao, labda ni mimi au sikupata msaada niliohitaji ili kufanikisha maendeleo ya kazi yangu.”
Jumatatu, 14 Mei 2018
NJIA ZA KUONDOA NYEGE,MWANAUME AKIWA MBALI AU MWANAMKE
Smartdesmart
Jumatatu, Mei 14, 2018
0
Nyege si kitu kizuri sana kama tunavyofikiri,wala si jambo la kufanyia mchezo kama ambavyo wengi tunachukulia bali Nyege ni tatizo kama tatizo lingine serious ambalo linatakiwa litafutiwe ufumbuzi ili muhusika apate ahueni. Nyege hufanya mtu awe na hisia za hali ya juu kuhusu masuala ya mapenzi iwe kufanya au kufanywa hivyo humpa wakati mgumu sana aliyepatwa na nyege hizo kwani inakuwa ngumu kufanya mambo muhimu kwa wakati huo kama vile kazi,kusoma hivyo huwa hatari sana kwa mtu kuendelea na shughuli za kawaida za uzalishaji mali. Kushikwa na nyege hizo ni suala moja na kutafuta suluhu ya nyege hizo ni jambo lingine kwani wengi tumezoea njia moja kuu ya kumaliza nyege ni kufanya ngono ili kuridhisha nafsi na hatimaye kutuliza munkari. Lakini hiyo ni njia ya kwanza japo inachangamoto zake kwani si kila utakapohisi nyege utapata wa kufanyanae. Hivyo zipo njia zingine za kupunguza nyege kama vile punyeto (kujitia vidole ukeni mpaka ufike kileleni), kufanya mazoezi kama vile kukimbia, nk, vile vile waweza kujihusisha na kazi ngumu, kuoga maji ya baridi ambayo hayawezi kuruhusu nyege hizo kuende
MTANZANIA EBORA IMEINGIA,NJIA ZA KUZUIA , KWANINI EBORA INAKUJA MARA KWA MARA
Smartdesmart
Jumatatu, Mei 14, 2018
0
Virusi vya Ebola vimechomoza tena, mara hii katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Wakati ni vigumu kutabiri ni wapi au lini tena mlipuko huu unaweza kuzuka, ni wazi kuwa tunafahamu mengi sasa kuhusu namna ya kuzuia janga kutokea. Taarifa kuhusu kutokea mlipuko wa Ebola katika mji wa Bikoro kaskazini magharibi mwa Congo mara moja inaleta katika akili jinsi janga hilo linalotisha lililosababisha vifo vya watu 11,000 na wengine 28,000 kuambukizwa katika eneo la Afrika magharibi kati ya mwaka 2014 na 2016. Ni jinamizi ambalo hakuna anayetaka kulishuhudia au kulipitia tena. Watu 600 watoweka kufuatia maporomoko Sierra Leone Maisha baada ya janga la Ebola Afrika Magharibi Tangu Aprili 4 nchini Congo, kumeripotiwa zaidi ya visa 30 ambavyo huenda ni vya ugonjwa wa Ebola - ikiwemo vifo vya watu 18 - licha ya kwamba ni visa viwili tu vilivyothibitishwa kutokana na Ebola. Basi ni kwanini Ebola hurudi mara kwa mara na ni jitihada gani zinazochukuliwa kuzuiwa kurudi upya kwa janga lililoshuhudiwa Afrika magharibi? Hauwezi kudhibitiwa Ebola unaweza kusambaa kwa kasi kupitia kugusa maji maji ya kutoka mwilini mwa muathiriwa. Dalili za kwanza zinazokuja kwa mfano wa homa sio rahisi kuzitambua. Janga la Afrika magharibi mnamo 2014-16 lilizuka katika kijiji kimoja cha mpakani nchini Guinea, na muathiriwa wa kwanza anadhaniwa kuwa mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka miwili aliyefariki duniani mnamo 2013. Haki miliki ya pichaGOOGLE Image caption Mlipuko wa mwisho wa Ebola mnamo 2017 ni mojawapo ya milipuko 9 iliyoshuhudiwa DR Congo Ugonjwa huo ulisambaa nchini Guinea na nchi jirani Sierra Leone na Liberia, na kupindukia ulipofika maeneo ya mijini. Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ipo maelfu ya maili kutoka mataifa ya Afrika magharibi yalioathirika na janga hilo. Kwamba janga hilo limezuka upya katika eneo la mbali sio jambo la kushangaza. Virusi vya Ebola vimegunduliwa katika miaka ya nyuma mnamo 1976 katika milipuko miwili ambapo watu 151 walifariki katika enoe la Nzara, Sudan kusini na watu 280 waliofariki katika eneo la Yambuku karibu na mto Ebola uliopewa jina kutokana na ugonjwa huo. Haki miliki ya pichaSCIENCE PHOTO LIBRARY Image caption Virusi vya Ebola katika seli iliyoathirika Mlipuko huu wa sasa unafuatia mingine 8 iliyoshuhudiwa DR Congo. Kwa jumla kumeshuhudiwa milipuko 24 - ukiongezwa na wa kati ya 2014 -16 katika Afrika magharibi na kati ikiwemo katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Uganda, Sudan na Gabon. Wakati tunapoyatambua maeneo yalio katika hatari kubwa, itakuwa sio uhalisia kufikiria kuwa ugonjwa wa Ebola utawahi kuangamizwa kabisa na ni vigumu kujua ni wapi au lini mlipuko mwingine unaweza kuzuka. Kutafuta kupuguza maambukizi Tunaweza kuisitisha milipuko kuwa majanga na tunaweza kuboresha mbinu za kuwakinga raia. Hatua ya pamoja na iliyoratibiwa katika kukabiliana na ugonjwa huu inaweza kuhakikisha ugonjwa unadhibitiwa mapema, ili watu wachache iwezekanavyo waugue au wafariki. Haki miliki ya pichaAFP Image caption Maelfu walifariki wakati Ebola uliporipotiwa Afrika magharibi mnamo 2014-16 Ni muhimu kwanza kutambua aina ya virusi na kunakili uwezekano wa maambukizi mapya wakati mlipuko unaporitiwa. Wataalamu kwa mfano kwa mlipuko wa sasa Congo ni lazima watambue chanzo cha maambukizi haraka iwezekanavyo. Watataka kujua mgonjwa huyo amekuwa karibu na nani, na pia ni nani walikuwa karibu na watu hao. Hili ni jambo linalohitaji kufanywa haraka. Muuguzi afariki baada ya wauguzi kuogopa kumgusa Waathiriwa na wanaoshukiwa kuambukizwa watatibiwa katika taasisi za afya katika eneo hilo. Hatua za usafi ni muhimu - ikiwemo kufuniko nyuso, na kuvaa magauni na glavu za mikono kuzuia mwili kugusa maji maji ya aina yoyote kutoka kwa muathiriwa. Chanjo zimekusanywa Kuna aina tano ya virusi vilivyotambuliwa vya Ebola, na kilicho hatari zaidi ni kile cha Zaire. Na ndicho kirusi kilichotambuliwa katika mlipuko wa sasa huko Congo ambapo sasa kuna chanjo ilio tayari kwa matumizi ya dharura. Haki miliki ya pichaCENTERS FOR DISEASE CONTROL AND
TAADHARI KWA WAKAZI WA DAR ES SAALAM
Smartdesmart
Jumatatu, Mei 14, 2018
0
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa tahadhari ya kunyesha mvua kubwa kwa siku tano kuanzia jana, ambazo zinaweza kuleta mafuriko katika maeneo ya mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani, Lindi, Mtwara na Visiwa vya Unguja na Pemba. Katika taarifa ya TMA iliyotolewa jana Mei 13, mvua hizo zilizoanza kunyesha zitaendelea mpaka Mei 17 mwaka huu. TMA imesema athari zinazinaweza kutokea ikiwemo mafuriko ambayo yanaweza kusababisha kuvurugika kwa usafiri, barabara kubwa kutopitika na maisha ya watu kuwa hatarini kutokana na maji kujaa au kupita kwa kasi. Pia imetoa wito kwa wakazi wa maeneo hayo kuchukua tahadhari stahiki na kuendelea kufuatilia taarifa pamoja na tahadhari zitakazotolewa.

