Katibu Mtendaji wa Balaza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt. Charles E. Msonde.
KATIBU MTENDAJI wa Balaza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt. Charles E. Msonde leo ameongea na wanahabari jijini Dar es Salaam na kusema mitiani ya kidato cha sita (ACSEE) na Ualimu itafanyika tarehe 7 hadi 25 Mei 2018 katika jumla ya Shule za Sekondari 674, Vituo vya Watahiniwa wa Kujitegemea 231 na Vyuo vya Ualimu 125 Tanzania Bara na Zanzibar.
Jumapili, 6 Mei 2018
MTIHANI WA KIDATO CHA SITA KUANZA KESHO
Tags
# HABARI ZA KITAIFA
About Smartdesmart
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of soratemplates is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
HABARI ZA KITAIFA
Lebo:
HABARI ZA KITAIFA
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni