mtungi wa gesi ili kujua kiasi kilichobakia.
Unachotakiwa kufanya ni kulowanisha upande mmoja wa mtungi kwa maji. Baada ya muda sehemu ya juu iliyoisha gasi itakuwa kavu na sehemu ya chini iliyobaki na gesi itakuwa imelowa. Sehemu iliyolowa itakuonyesha kiasi cha gas iliyobakia kwenye mtungi.
Mara nyingi huwa tunatingisha mtungi kupima kiasi cha gesi kilichobakia kwenye mtungi. Hii ni hatari sana kwani inaweza kutusababishia mauti.
Ijumaa, 11 Mei 2018
Home
Unlabelled
UFAHAMU: USITINGISHE GESI ILIKUJUA KAMA IMEKWISHA AU BADO IPO FATA MAELEKEZO HAYA
UFAHAMU: USITINGISHE GESI ILIKUJUA KAMA IMEKWISHA AU BADO IPO FATA MAELEKEZO HAYA
About Smartdesmart
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of soratemplates is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni