Paris, Ufaransa. Mashabiki wa Brazil wameripuka kwa shangwe baada ya taarifa za kurejea uwanjani kwa nahodha wao na mshambuliaji PSG, Neymar Neymar alikuwa akiwatia watu tumbo joto hasa Wabrazil baada ya kuumia na kurejea Brazil kwa ajili ya kuhuduimiwa na amerudi kikosi chakcke cha Paris Saint-Germain. Kocha wake, Unai Emery alisema kuwa Neymar alitarajiwa leo Jumamosi na lazima atampanga kwenye mechi za PSG kabla ya kumalizikam kwa msimu. Mchezaji huyo alivunjika metatarsal (mifupa ya vidole vya mguu) wakati wa mechi ya Ligue 1 dhidi ya Marseille mwishoni mwa Februari na tangu kipindi hicho, amekuwa nje ya dimba akiuguza majeraha yake. Katika kipindi hicho alichokuwa nje, PSG ilitolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, ilitwaa ubingwa wa French Cup p[amoja na ubingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa, Ligue 1, na kuwaacha mbali mahasimu wao kwa kuwalaza mabao 7-1 Monaco. Hata hivyo, Hata hivyo, wachezaji wanaweza kufurahi naye kwa kucheza pamoja kwa mara ya kwanza Mei 19 katika mchezo wa mwisho wa ligi dhidi ya Caen. 'Kuhusu Neymar, sifahamu hasa ni lini atakuwa uwanjani – Ijumaa na Jumamosi – lakini atakuwa hapa kuungana na sisi,' Emery aliwaambia waandishi w ahabari kabla ya mpambano wa PSG na Amiens. 'Kufanya mazoezi ya pamoja? Kwa sasa, sidhani. Sijui – Tutaona atakapofika.' Kumekuwa na mawazo mengi kwamba huenda Neymar akashindwa kuichezea Brazil katika Fainali za Kombe la Dunia zinazoanza Juni 14. Hata hivyo, kurejea kikosini na kucheza kunatoa matumaini kwamba anaweza kucheza na hata kuitumikia timu yake akiondoa woga wa kuumia tena. Kwa nafuu hiyo, moja kwa moja atakuwa kwenye kikosi cha Brazil kitakachokuwa Russia na kuibeba timu yake.
Jumamosi, 5 Mei 2018
NEYMAR KUREJEA UWANJANI KWA KISHINDO

Tags
# MICHEZO

About Smartdesmart
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of soratemplates is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
MICHEZO
Lebo:
MICHEZO
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni