Msanii wa bongofleva Alikiba a.ka.a King Kiba ametoa ahadi kwa mashabiki wake ikiwa ni pamoja na kutoa changamoto kwa mashabiki kuweza kufikisha idadi ya watazamaji milioni tatu kwenye wimbo wa msanii Ommy Dimpoz aliomshirikisha Seyi Shay kutoka Nigeria. Alikiba ametoa ahadi hiyo kwa mashabiki zake ikiwa ni takribani mwaka mmoja tangu alipoachia wimbo wa ‘Seduce Me’ ulioweza kuvunja rekodi ya kutimiza ya video zote za wasanii nchini kwa kuangaliwa zaidi ya mara milioni moja ndani ya saa 38. “Hii nyimbo Ya Ommy Dimpoz ikifika milioni 3 Youtube Naliamsha dude (I PROMISE U)”- Alikiba. Alikiba na Ommy Dimpoz ni wasanii ambao wote wapo chini ya uongozi wa Rockstar4000.
Ijumaa, 4 Mei 2018
ALIKIBA AMPA WAKATI MGUMU ,OMMY DIMPOZ

Tags
# HABARI ZA MASTAA

About Smartdesmart
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of soratemplates is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
HABARI ZA MASTAA
Lebo:
HABARI ZA MASTAA
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni