Nyege si kitu kizuri sana kama tunavyofikiri,wala si jambo la kufanyia mchezo kama ambavyo wengi tunachukulia bali Nyege ni tatizo kama tatizo lingine serious ambalo linatakiwa litafutiwe ufumbuzi ili muhusika apate ahueni. Nyege hufanya mtu awe na hisia za hali ya juu kuhusu masuala ya mapenzi iwe kufanya au kufanywa hivyo humpa wakati mgumu sana aliyepatwa na nyege hizo kwani inakuwa ngumu kufanya mambo muhimu kwa wakati huo kama vile kazi,kusoma hivyo huwa hatari sana kwa mtu kuendelea na shughuli za kawaida za uzalishaji mali. Kushikwa na nyege hizo ni suala moja na kutafuta suluhu ya nyege hizo ni jambo lingine kwani wengi tumezoea njia moja kuu ya kumaliza nyege ni kufanya ngono ili kuridhisha nafsi na hatimaye kutuliza munkari. Lakini hiyo ni njia ya kwanza japo inachangamoto zake kwani si kila utakapohisi nyege utapata wa kufanyanae. Hivyo zipo njia zingine za kupunguza nyege kama vile punyeto (kujitia vidole ukeni mpaka ufike kileleni), kufanya mazoezi kama vile kukimbia, nk, vile vile waweza kujihusisha na kazi ngumu, kuoga maji ya baridi ambayo hayawezi kuruhusu nyege hizo kuende
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo MAHUSIANO. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo MAHUSIANO. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 14 Mei 2018
NJIA ZA KUONDOA NYEGE,MWANAUME AKIWA MBALI AU MWANAMKE
Smartdesmart
Jumatatu, Mei 14, 2018
0
Nyege si kitu kizuri sana kama tunavyofikiri,wala si jambo la kufanyia mchezo kama ambavyo wengi tunachukulia bali Nyege ni tatizo kama tatizo lingine serious ambalo linatakiwa litafutiwe ufumbuzi ili muhusika apate ahueni. Nyege hufanya mtu awe na hisia za hali ya juu kuhusu masuala ya mapenzi iwe kufanya au kufanywa hivyo humpa wakati mgumu sana aliyepatwa na nyege hizo kwani inakuwa ngumu kufanya mambo muhimu kwa wakati huo kama vile kazi,kusoma hivyo huwa hatari sana kwa mtu kuendelea na shughuli za kawaida za uzalishaji mali. Kushikwa na nyege hizo ni suala moja na kutafuta suluhu ya nyege hizo ni jambo lingine kwani wengi tumezoea njia moja kuu ya kumaliza nyege ni kufanya ngono ili kuridhisha nafsi na hatimaye kutuliza munkari. Lakini hiyo ni njia ya kwanza japo inachangamoto zake kwani si kila utakapohisi nyege utapata wa kufanyanae. Hivyo zipo njia zingine za kupunguza nyege kama vile punyeto (kujitia vidole ukeni mpaka ufike kileleni), kufanya mazoezi kama vile kukimbia, nk, vile vile waweza kujihusisha na kazi ngumu, kuoga maji ya baridi ambayo hayawezi kuruhusu nyege hizo kuende
Ijumaa, 11 Mei 2018
JE UNAJUA ASILIMIA KUBWA YA WANANDOA HASA WANAUME WANA UFUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TIBA HII HAPA
Smartdesmart
Ijumaa, Mei 11, 2018
0
JE' WAJUA KWANINI ASILIMIA KUBWA YA WANAUME WANA UPUNGUFU, UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO YA UUME? CHANZO HUWA NI: (Kisukari, presha, ngiri, korodani kuvimba na kuuma, busha,zinaa,tumbo kuuma chini ya kitovu na kuunguluma nakujaa gesi, kutopata choo vizuri, punyeto, vidonda vya tumbo, bawasili. Haya ni baadhi ya magonjwa yanayochangia upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume na uume kuwa mdogo. TIBA YAKE NI "KIBOKO POWER" Kiboko Power Ni dawa ya mitishamba ya vidonge yenye uwezo mkubwa sana wa kutibu upungufu au ukosefu nguvu za kiume.
(1) Itakufanya uwe na uwezo mkubwa sana wa kufanya tendo la ndoa.
(2) Inaongeza hamu ya tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila hamu kuisha.
(3) Itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dk 30 nakuendelea.
(4) Itaufanya uume uwe na nguvu mara dufu wakati wote wa tendo la ndoa. TIBA YA KUKUZA UUME SAIZI UIPENDAYO NI " SUPER FARU" Super Faru Inanenepesha na kurefusha uume saizi uipendayo kuanzia nchi 3 hadi 8 na unene sm 2 hadi 4
. (1) Inaimarisha mirija ya uume iliyolegea au kusinyaa.
(2) Inasaidia kusafisha mishipa ya uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi msukumo wa damu kwenye mishipa ya uume.
(3) Inasaidia kuurudisha nje uume ulioingia ndani.
(4) Inasaidia kuongeza manii nyingi ambazo zina viini vya uzazi
(5) Inatibu pia madhara yanayosababishwa na upingaji punyeto, matumizi ya madawa ya kizungu ya kuongeza nguvu au maumbile ya uume, milungi, bangi na sigara. PIA NATIBU MAGONJWA YOTE SUNGU NAYALIYOSHINDIKANA KAMA VILE, Kisukari, korodani kuvimba na kuuma, busha bila upasuaji, tezi dume, presha, zinaa miguu kuwaka moto au kufa ganzi, presha, mgoro nk. Pia narudisha mme, mke, mchumba, hawara, aliyekuacha ndani ya masaa 4 tu, nakutimiza ahadi zote ulizoahidiwa. Pia natoa utajiri wa majini ambao hauna masharti magumu na kutoa ndangu za utajiri. Kumbuka nashughulika na matatizo yote yaliyopo ndani ya mzunguko wa binadamu usisite kunieleza hata kama sijayaandika.
Alhamisi, 10 Mei 2018
FAIDA ZA MBEGU ZA MLONGE KATIKA UZAZI
Smartdesmart
Alhamisi, Mei 10, 2018
0
Mlonge ni mti maarufu sana Duniani kote hata hapa kwetu Tanzania husussani mkoa w Kigoma. Wao hutumia kama dawa ya kuteguka, maumivu ya mwili au miguu, tumbo na hutumika zaidi kwa matumizi ya kivuli. Ziko aina nyingi za mti wa Mlonge, lakini zinazofahamika sana ni zile aina saba za mlonge zilizo maarufu kati ya 13 zilizopo ; Mlonge Drouhardi – Madagascar Mlonge Longituba – Ethiopia Mlonge Ovalifolia – Angola na Namibia Mlonge Concanensis – Inayostawi zaidi India na katika nchi za Afrika Kaskazini. Moring Stenopetala – Inayostawi zaidi katika nchi za Ethiopia na kaskazini mwa Kenya Moringa Peregrina – Inayostawi zaidi Sudani, Misri, Syria (Peninsula) Uarabuni na Kaskazini mwa bahari ya Shamu. Mti wa Mlonge hutibu Magonjwa mengi sana yanayomsumbua binadamu na baadhi ya Magonjwa hayo ni kama ifuatavyo :- Kisukari Ugumba Tatizo la Figo Tatizo la Moyo kuwa mkubwa Kupata maumivi unapokutana na Mwanamke/Mwanaume Mapele sehemu za siri Tatizo la Miguu na Magoti Maumivu ya mikono Mishipa ya ngiri Madonda ya koo Meno Vibarango Vidonda ndugu degedege Madonda ya Tumbo Mgongo Kiuno Matatizo ya nguvu za kiume na kike JINSI YA KUTENGENEZA DAWA YA MLONGE NA MATUMIZI YAKE 1). KWA UGONJWA WA KISUKARI Menya tunda la mbegu na uchukue mbegu tatu za Mlonge kisha zitafune mbegu hizo tatu kutwa mara tatu 1 x 3, pia hakikisha unakula mbegu hizo baada ya kula na kushiba. Halafu chukua mizizi na magome mabichi ya mlonge, chemsha kwa pamoja baada ya kuzitwanga dawa hizi na kuzisafisha kisha epua na kunywa glasi moja ikiwa bado dawa ina uvuguvugu, tumia kutwa mara tatu kwa siku saba. Nenda Kacheki Hospitali na upumzike kwa siku mbili. Baada ya hapo chukua miziz ya mlonge kausha na utwange, saga iwe kama unga. Kila siku asubuhi jaza kijiko kidogo cha chai na uweke kwenye maji moto na kunywa kama chai kikombe kimoja asubuhi kabla ya (kuswaki) kupiga mswaki. Tumia dawa hii kwa muda wa siku kumi na nne yaani wiki mbili. 2).UGUMBA NA UZAZI Chukua mbegu za mlonge kisha zitafune tatu, pia kiasi fulani zina ukakasi – ugwadu, kwa hiyo inatakiwa usijali ukakasi wake, wewe tumia tu. Kama kawaida tumia tatu kutwa mara tatu na bila kusahau uzitumie baada ya kula chakula na kushiba. Chemsha mizizi pamoja na magome baada ya kutwanga na kulainika, ikichemka tumia glasi moja kutwa mara tatu kwa muda wa wiki moja. Chukua maua ya Mlonge yaliyokauka kisha yaweke kwenye chujio la chai, unaweka maji ya moto juu ya chujio hiyo na unajaza kikombe cha chai unakunywa kama chai. Hii husaidia kuzibua mirija ya uzazi iliyoziba. Tumia dawa hii hadi utakapopata mafanikio ya kuwa mjamzito. Hakikisha unapotumia dawa hii uwe unakutana na mumeo, usitumie kama hauna hakika ya kukutana na mumeo kimwili. 3). MAUMIVU UNAPOKUTANA NA MUME Chemsha mizizi, magome na majani, maji yake safisha sehemu za siri kwa muda wa siku saba. 4). HARUFU MBAYA MDOMONI, KWAPANI NA MWILI MZIMA Tafuna mbegu tatu kutwa mara tatu, sukutua mdomo kwa kutumia mti wa mlonge, pia oga maji yaliyochemshwa kwa magome na mizizi ya mti wa Mlonge. Chukua mizizi na magome safisha kisha chemsha tumia kwa kunywa kikombe kutwa mara tatu 1 x 3 Saga mbegu za Mlonge tia ndani ya uji, maji vuguvugu au maziwa 1 x 1 tumia dawa hizi kwa pamoja. 5). UPELE SEHEMU ZA SIRI – FANGASI Tafuna mbegu tatu kutwa mara tatu na pia chukua mizizi, magome na majani mabichi ya mti wa Mlonge. Tumia kupaka au kuosha na maji hayo sehemu zinazowasha na zile zillizoathirika pakaa asubuhi na jioni kila baada ya kuoga.
NJIA ZAKUACHA KUFIKIRIA NGONO MUMEO AKIWA MBALI
Smartdesmart
Alhamisi, Mei 10, 2018
0
“MIMI hujikuta nikifikiria wasichana saa zote—hata wakati ambapo hawapo,” asema kijana mmoja anayeitwa Michael. “Sielewi. Nyakati nyingine siwezi kukazia fikira jambo lolote!” Je, wewe hutumia saa nyingi ukiwaza juu ya watu wa jinsia tofauti, kama anavyofanya Michael? Ikiwa ndivyo, huenda ukahisi kana kwamba unapigana vita na akili yako. Fikira za ngono huingia akilini mwako kama jeshi la adui. “Fikira hizo zinaweza kukutawala,” asema Michael. “Zinaweza kukufanya uzunguke njia ndefu ili tu umtupie jicho msichana fulani mrembo, au kutembea-tembea dukani wakati ambapo hukusudii kununua chochote ili tu umtazame mtu fulani kwa ukaribu.” Hata hivyo, kumbuka kwamba kuwa na hisia za ngono si dhambi. Mungu alimuumba mwanamume na mwanamke wakiwa na uvutano wenye nguvu kati yao, na hakuna ubaya wa kutosheleza tamaa za ngono katika mpango wa ndoa. Kabla ya kufunga ndoa, huenda ukawa na tamaa kali za ngono. Hilo likitokea, usidhani kwamba wewe ni mtu mwovu au kwamba huwezi kuishi maisha safi. Unaweza kudumisha usafi wa kiadili ukiamua kufanya hivyo! Lakini ili ufanikiwe, utahitaji kudhibiti mawazo yako kuhusu watu wa jinsi tofauti. Unaweza kufanya hivyo jinsi gani? Angalia watu unaoshirikiana nao. Wanafunzi wenzako wakianza kuzungumzia mambo ya ngono, huenda ukataka kuchangia mazungumzo hayo—ili tu usionekane mshamba. Hata hivyo, kwa kweli kushiriki mazungumzo hayo kutafanya iwe vigumu zaidi kwako kudhibiti mawazo yako. Ufanye nini? Usimame tu na kuondoka? Ndiyo, na usione aibu kufanya hivyo! Mara nyingi inawezekana kuondoka pasipo kuonekana “mtakatifu” au kuwafanya wenzako wakucheke. Epuka kujifurahisha kwa mambo machafu. Bila shaka, haimaanishi kwamba sinema zote, au miziki yote ni mibaya. Hata hivyo, katika ulimwengu wa leo burudani nyingi zimekusudiwa kuamsha tamaa zisizofaa za ngono. Biblia inatoa shauri gani? “Acheni tujisafishe wenyewe kila unajisi wa mwili na roho, tukiukamilisha utakatifu katika kumwogopa Mungu.” (2 Wakorintho 7:1) Epuka kabisa burudani zote zinazoweza kuchochea tamaa zisizofaa za ngono.* Tatizo la Kupiga Punyeto Vijana fulani hujaribu kupunguza tamaa ya ngono kwa kupiga punyeto. Lakini kufanya hivyo kunaweza kutokeza matatizo makubwa. Biblia inawahimiza Wakristo hivi: “Viueni viungo vya mwili wenu vilivyo duniani kwa habari ya uasherati, uchafu, hamu ya ngono, tamaa yenye madhara, na kutamani.” (Wakolosai 3:5) Kupiga punyeto ni kinyume kabisa cha ‘kuua hamu ya ngono.’ Kwa kweli, kupiga punyeto huchochea na kukuza hamu hiyo! Kupiga punyeto kwaweza kukufanya kuwa mtumwa wa tamaa zako. (Tito 3:3) Hatua moja unayoweza kuchukua ili kushinda zoea hilo ni kuzungumza na mtu unayemtumaini. Mkristo aliyekuwa na tatizo la kupiga punyeto kwa miaka mingi anasema hivi: “Laiti ningeweza kupata ujasiri wa kuzungumza na mtu fulani kuhusu tatizo hilo nilipokuwa kijana! Kwa miaka mingi nilisumbuliwa na hisia za hatia, nazo ziliathiri sana uhusiano wangu na wengine, na zaidi ya yote, uhusiano wangu na Yehova.” Ni nani unayeweza kuongea naye? Mara nyingi ingefaa kuzungumza na mzazi. Au huenda Mkristo mkomavu kutanikoni anaweza kukusaidia. Unaweza kuanza kwa kusema, “Ningependa kuzungumza nawe kuhusu tatizo linalonisumbua sana.” André aliongea na mzee Mkristo, naye anafurahi kwamba alifanya hivyo. “Mzee huyo alipokuwa akinisikiliza, alilengwa-lengwa na machozi,” André anasema. “Nilipomaliza kuzungumza, alinihakikishia kwamba Yehova ananipenda. Aliniambia kwamba watu wengi wana tatizo kama langu. Aliahidi kwamba atakuwa akizungumza nami mara kwa mara kuona nimefanya maendeleo kiasi gani na kuniletea habari zaidi kutoka katika vitabu vinavyotegemea Biblia. Baada ya kuongea naye, niliazimia kupiga vita zoea hilo—hata ikiwa ningeanguka mara moja moja.” Mário aliamua kuongea na baba yake, aliyemjali sana na kuelewa hali yake. Hata alikiri mbele za Mário kwamba alipokuwa kijana haikuwa rahisi kwake kushinda zoea hilo. “Nilitiwa moyo sana na mazungumzo hayo ya waziwazi na unyoofu wa baba yangu,” asema Mário. “Nilijiambia, ikiwa al
Jumatano, 9 Mei 2018
NINAMIAKA MINNE KATIKA NDOA SIJAWAI KUFIKA KILELENI
Smartdesmart
Jumatano, Mei 09, 2018
0
Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli….yaani nikikutana nae…aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa….na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime…..! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa. Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi…da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa….wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mimi mwanamke huwa nahitaji…nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya: 1. Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi 2. Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale “Dar es Salaam“ kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga. Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro……tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu….so na mimi nitaanzia kutafuta wa kurusha nae roho. Naomba mnisadies what to do at the moment!
MBINU ZA KUNFIKISHA MWANAMKE KILELENI
Smartdesmart
Jumatano, Mei 09, 2018
0
Utamu Wa Chumbani MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI HIZI HAPA..! Mwili wa mwanamke ni tofauti na wa mwanaume linapokuja swala la kujamiiana. Mwanaume ni rahisi sana kupata ashki hasa akiona mwili wa mwanamke ukiwa uchi. Mwanaume anachohitaji ili apate ashki ni kuwaza ngono, pamoja na kuona mwili wa mwanamke, hiyo inatosha kumuweka tayari kwa tendo la kujamiiana. Kwa kawaida mwanaume huwa anapata ashki kwenye maeneo yake ya siri peke yake na siyo mwili mzima kama ilivyo kwa mwanamke. Mwanamke yeye ili aweze kupata ashki na awe tayari kufanya tendo, inatakiwa aandaliwe vya kutosha, kwani mwili wake wote unatakiwa upate ashki na siyo sehemu zake za siri peke yake kama ilivyo kwa mwanaume. Kuamsha sehemu za siri za mwanaume ni rahisi sana, ni eneo dogo, na huchukua muda mfupi sana, chini ya dakika moja. Lakini kuamsha mwili wa mwanamke ili uwe tayari kufanya ngono siyo rahisi kufanya hicho, inahitaji muda mrefu, zaidi ya dakika tano mpaka saa moja au zaidi kutegemea aina ya maandalizi au aina ya mwanamke. Kwa hiyo wanaume wanatakiwa wafahamu tofauti hizi, ili kupunguza lawama zipungue kama sio kuzifuta kabisa, na mimi ninaamini ipo siku zitaisha kwa kadiri dunia hii inavyozidi kuwa ndogo mfano wa kijiji. Kwa kawaida baadhi ya wanaume huwa na haraka sana, huwa wana papara sana, na sijui huwa wanataka kuwahi nini na wapi. Mwanaume huwa hana subira wakati wa kufanya ngono, anataka afanye haraka, amalize kisha ageukie ukutani. Sijui huko ukutani huwa kuna nini, huu ni ukatili, haukubaliki. Haitakiwi mwanaume amwingilie mwanamke kama mwanamke hajawa tayari kwa tendo. Maandalizi kabla ya ngono ni jambo muhimu sana kuliko hata ngono yenyewe. Kama maandalizi yakiwa mazuri utaifurahiya ngono, lakini maandalizi yakiwa hafifu huwezi kuifurahia ngono.Kuna njia nyingi sana za kumuandaa mwanamke, nitazitaja chache. Mojawapo ni njia ya mazungumzo, mwanaume anatajkiw aaongee na mpenzi wake kwa lugha nzuri, kwa maneno matamu na yenye mahaba. Atumie muda mwingi kuzungumza naye, asiwe na haraka kuanza kufanya ngono. Mazungumzo yahusu masuala ya uhusiano ukiwemo upenzo. Usizungumzie madeni yako unayodaiwam, usizungumzie matatizo yako au ya familia yenu. Baadhi ya wanwake wanaweza kujisikia kujamiiana kutokana na mazungumzo peke yake. Lakini pia kuna baadhi ya wanwake wengine ambao huwa hawapendi kufanya ngono unapokutana nao kwa mara ya kwanza, wanataka tu mzungumze tu na si zaidi ya hapo. Jambo hili kwa wanaume walio wengi ni gumu sana, wao wantaka ngono siku hiyo hiyo ya kwanza. Sisemi kufanya hivyio ni vibaya au vizuri, inategemea mazingira na makubaliano yenu.Njia ya pili ni ya kumshikashika sehemu mbalimbali za mwili wake. Njia hii inaweza kwenda sambamba na ile ya kwanza. Wakati unamshikashika usitumie nguvu, mshike kama vile unampapasa. Achana na mambo yote uliyoambiwa na rafiki zako kwamba mwanamke ukimshika sehemu Fulani ndio anajisikia kufanya ngono, huu ni utoto, ni ukasuku. Wanwake wote wanatofautiana. Linapokuja swala la kujamiiana mwili wa mwanamke unaweza kuufananisha na dunia hii tunayoishi. Una milima na mabonde, mito, maziwa na bahari, una mbuga za wanyama kwa kifupi ni kwamba, una kila kitu unachokiona hapa duniani, ni juu ya mwanaume kuwa mvumbuzi wa maeneo mbalimbali atakayoyatumia kumuandaa mwanamke aliye naye ile awe tayari kufanya ngono na kufika kileleni kwa urahisi.Wakati mwanaume anaendelea na utafiti huo wa kumuandaa mwanamke anatakiwa awe macho na atumie milango yake sita ya fahamu.(Najua kuna wazo limekuambia nimekose) Sijakosea, milango ya fahamu ipo sita na siyo mitano kama ulivyofundishwa. Mwanaume anatakiwa atumie milango yote sita ya fahamu ili kujua ni maeneo gani anapoyagusa yanamfanya mwanamke ajisikie vizuri zaidi, yanamfanya asisismke. Pia ni maeneo gani akiyagusa yanamfanya ajisikie vibaya. Mwanaume anatakiwa apelike uzingativu wake kwenye yale maeneo yanayomfanya mwanamke ajisikie vizuri. Kwa kawaida, maeneo Fulani yanaweza yakamfanya mwanamke Fulani ajisikie vizuri, lakini maeneo hayo hayo ukimshika mwan
Jumanne, 8 Mei 2018
JINSI YA KUREKEBISHA MZUNGUUKO WA HEDHI,MWANAMKE
Smartdesmart
Jumanne, Mei 08, 2018
0
Hili ni tatizo linalowatokea karibu wanawake katika safari yao ya kuishi hapa chini ya jua.
Tatizo la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huanza ghafla au polepole ambapo mwanzo mwanamke alikuwa akipata siku zake katika utaratibu unaoeleweka lakini mara haelewi au hajielewi namna mzunguko wake unavyoenda.
Kuvurugika kwa hedhi ni kitendo cha mwanamke kuanza kuona siku zake bila tarehe au mzunguko maalumu na matokeo yake ni kuwa mwanamke atashindwa kutimiza malengo yake kwa kutumia mzunguko huo sababu ni haueleweki.
Unaweza kutokewa ghafla tu unapata hedhi mahali usipotarajia jambo linakufanya ubaki na woga na huelewi nini cha kufanya kwani hukuwa umejiandaa kwa tukio hilo kama matokeo ya siku zako kutokuwa mzunguko maalumu. Wakati mwingine unaweza kupitiliza mwezi hata miezi kadhaa bila kuona kabisa siku zako na hata ukipima ujauzito unakutwa huna ujauzito wala dalili huna.
Madhara ya kuvurugika kwa mzunguko ni pamoja na; kushindwa kupata ujauzito, maambukizi katika kizazi na kuziba kwa mirija ya uzazi.
Kwanini unahitaji mzunguko wa hedhi ulio sawa?
Faida za kuwa na mzunguko wa hedhi ulio sawa
: Utakusaidia kupata ujaouzito ulioupangilia Utakuepusha kupata ujauzito ambao hukuupangilia Utaweza kuamua jinsia ya mtoto unayemtaka
Nini husababisha kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi Ni rahisi kugundua kama mzunguko wako umevurugika ikiwa tu unauafahamu vizuri mzunguko wako ulio sahihi. Kufahamu mzunguko unahitaji uifahamu siku ambayo ulianza kuona damu hadi siku utakapoona tena katika mzunguko unaofuata. Karibu kila mwanamke huwa na mzunguko wake usiofanana na wa mwingine. Tatizo linaweza kuanza kwa kurukaruka siku, mwanamke pia anaweza kupoteza siku yaani mwezi mwingine anaona na mwezi mwingine haoni, au anaingia mara mbili kwa mwezi au anaona damu ya hedhi kwa siku nyingi hata zaidi ya siku arobaini mfululizo. Damu yake inaweza kutokea kidogo kidogo kila siku au nyingi huku ikiambatana na mabongemabonge na maumivu pia. Maumivu haya ya wakati wa hedhi huenea chini ya tumbo mpaka miguuni na kiunoni. Kuvurugika kwa hedhi kunaweza kutokea kutokana na sababu zifuatazo: Mabadiliko ya mazingira ambayo hupelekea mfumo wa mwili hubadilika pia hasa mwanamke akitoka sehemu ya joto kwenda mikoa ya baridi au toka mikoa ya baridi kwenda mikoa ya joto. Msongo wa mawazo (stress) Hofu Woga Mabadiliko ya kisikolojia Uvimbe kwenye kizazi Matatizo kwenye mfumo wa homoni Matatizo kwenye vifuko vya mayai Mimba kuharibika Maambukizi sugu ya kizazi pia ni mojawapo ya sababu. Maumivu ya tumbo chini ya kitovu ya mara kwa mara na kila ukipima unaambiwa ni ugonjwa wa U.T.I kumbe siyo yutiai Kutokwa na uchafu ukeni Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Jinsi ya kurekebisha mzunguko wa hedhi Kabla ya yote unapopatwa na tatizo hili kwa muda mrefu ni vizuri ukaonana na daktari uweze kupata uchunguzi wa kutosha kubaini nini hasa inaweza kuwa ndiyo sababu hasa ya tatizo kwa upande wako. Zifuatazo ni dawa mbadala 6 unazoweza kuzitumia ukiwa nyumbani ili kurekebisha tatizo hili
1. Papai
Papai ni moja ya dawa nzuri sana katika kutibu tatizo la kuvurugika kwa hedhi. Ina viinilishe mhimu kama carotene, chuma ( iron), Kalsiamu (calcium) na vitamini A na C ambavyo husaidia kulainisha na kunywea kirahisi kwa kuta za mji wa uzazi. Siku 2 au 3 kabla ya kuanza kula papai kila siku nusu papai papai zima kutegemea na ukubwa wake au uwezo wako. Kwa mtu mwelevu sababu ameshagundua papai laweza kumsaidia hivyo basi atalifanya papai kuwa sehemu ya chakula chake kila siku na si mpaka aumwe tu.
Mdalasini Mdalasini unayo sifa ya kuondoa tatizo la damu kuganda sifa inayoweza kusaidia kuondoa tatizo la maumivu wakati wa hedhi. Mdalasini ni chanzo kizuri cha nyuzinyuzi (fiber), kalsiamu (calcium), chuma (iron) manganizi (manganese). • Tengeneza chai ya tangawizi kwa kutumia kijiko kidogo cha mdalasini ya unga na maji kikombe kimoja (robo lita), ipua na uache ipowe kidogo, ongeza asali kijiko kikubwa kimoja ndani yake na unywe. Fanya zoezi hili mara 2 mpaka mara tatu siku 2 au 3 kabla ya kuanza siku zako. • Au changanya kijiko kidogo kimoja cha mdalasini ya unga na kijiko kidogo kimoja cha asali katika glasi moja ya maji ya uvuguvugu na unywe kutwa mara 2 siku za mwanzoni unapoanza au kukaribia kuingia katika siku zako. 3. Tangawizi Tangawizi ni dawa ya asili yenye maajabu katika kutibu tatizo la mvurugiko wa hedhi. Tangawizi hufanya kazi mhimu kabisa katika kushusha kiwango cha homoni inayosababisha maumivu ijulikanayo kwa kitaalamu kama ‘prostaglandins’. Tangawizi husaidia pia katika kupigana na uchovu uletwao na mzunguko wa hedhi katika siku zile za mwanzo au siku 2 hivi kabla ya kuanza siku zako na huweza pia kufanya mzunguko usio sawa wa hedhi kuwa sawa • Tengeneza chai ya tangawizi ukitumia tangawizi mbichi, kunywa kikombe kimoja kutwa mara 3 wakati wa siku zako au siku yoyote tu kama kinga. Kamulia ndimu kidogo ndani yake na utumie asali kupata radha badala ya sukari. • Unaweza pia kuongeza tangawizi kwenye vyakula na mboga mboga nyingi unazopika kila siku. 4. KOTIMIRI (Parsley): Tengeneza juisi ya kotimiri, viazi pori (Beet Root), karoti au matango. Tumia asali mbichi ukitengeneza juisi hii. Hii kotimiri inapatikana kirahisi Dar na Zanzibar ni mboga mboga inayotumika zaidi kwenye mahoteli ya kitalii. Mboga hii inacho kitu mhimu sana kijulikanacho kama ‘Apiol’ amabcho kazi yake kuu ni kurekebisha na kuweka sawa homoni za kike. Changanya kwa ujazo sawa yaani kama juisi ya kotimiri ni kikombe kimoja basi ya kiazi pori nayo kikombe kimoja kadharika kwa matango. Juisi hii ni dawa tosha ya maumivu wakati wa siku za hedhi, hurekebisha mzunguko wa hedhi na imethibitika kuwa bora kuliko dawa nyingi za kizungu. Kunywa glasi moja ya juisi hii kutwa mara 2. 5. MREHANI Mrehani au Basil kwa Kiingereza ni mmea mwingine mzuri sana katika kuondoa maumivu wakati wa hedhi na kurekebisha mzunguko wa hedhi kwa ujumla. Mmea huu unatumika sana jikoni kwenye mahotel ya kitalii Dar na Zanzibar. Unao sifa kuu ya kuzuia au kuondoa maumivu mwilini. • Ongeza kijiko kikubwa kimoja cha majani freshi ya mrehani yaliyokatwakatwa na kisu (chop) kwenye kikombe kimoja cha maji ya moto, funika vizuri na usubiri ipowe. Kunywa yote ikishapoa na ufanye zoezi hili kutwa mara 3 kwa wiki 3 mpaka 4 au mpaka tatizo lako limeisha. • Au tengeneza juisi ya majani haya. Yatwange kwenye kinu au kwenye blenda ya umee kupata majimaji yake kisha chota vijiko vya chai viwili uweke ndani ya kikombe kimoja cha maji ya moto na unywe yote. Fanya zoezi hili kutwa mara 3. • Unaweza pia kuongeza majani freshi ya mrehani kwenye vyakula vingi unavyokula kila siku. 6. MAJI YA KUNYWA Matatizo karibu yote mwilini chanzo chake ni mwili kutokuwa na maji ya kutosha. Maji ni uhai. Unachohitaji hapa ni kutokusubiri kiu. Kiu ni ishara ya mwili iliyochelewa kuhitaji maji. Matatizo mengi ya kiafya tumeyaona kwa watu wasiopenda kunywa maji ya kutosha kila siku. Jitahidi hata iweje iwe unaumwa au huumwi chochote unywe maji lita mbili mpaka tatu kila siku iendayo kwa Mungu na utaniletea mrejesho hapa hapa. Kama una swali au unahitaji ushauri wowote liulize hapo kwenye comment nitakujibu. Kama utahitaji hizi dawa tuwasiliane 07124872732